Je, unafahamu Malengo ya Maendeleo Endelevu 17 yanawakilisha matatizo gani?

  • | VOA Swahili
    125 views
    Sanaa iliyojengwa inayowakilisha Malengo ya Maendeleo Endelevu 17 inaonyeshwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa wakati kikao cha 78 cha Baraza Kuu kikiendelea huko New York. SDGs hizo zinatambulisha matatizo ya kimataifa na kuyapa malengo husika kama vile Hakuna Umaskini, Kutokomeza Njaa, Kupunguza Kutokuwepo Usawa, Hatua za Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa, na mengineyo. The SDG Summit was held on Sept. 18-19 during the high-level week. Mkutano huo wa SDGs umefanyika kuanzia Septemba 18-19 katika wiki ya vikao vya ngazi ya juu. #unga #voaunga #unga78 - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.