Je, unaifahamu programu ya simu inayoitwa dhabiha na matumizi yake?

  • | VOA Swahili
    86 views
    Mjasiriamali wa Washington, D.C afanya ziara ya kibiashara huko jijini New York kutafuta fursa za kibiashara na wamiliki wa migahawa na maduka makubwa yanayo milikiwa na Waislam kwa lengo la kusajili biashara takriban 200. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo kuhusu bidhaa ya mfanyabiashara huyo inayojulikana kama programu ya dhabiha. Endelea kusikilza... #dhabiha #halali #chakula #vinywaji #newyork #marekani #washingtondc #busboyspoet #waislam #voa #voaswahili