Je, unaijua historia ya ushindi wa Adwa nchini Ethiopia?

  • | VOA Swahili
    488 views
    “Ushindi wa Kihistoria wa Adwa, ambayo ni ishara ya ukombozi wa watu weusi, inahusishwa na mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tunapoangalia huko nyuma, tutagundua kuwa ushindi wa Adwa ulianza kati ya Ramadhani ya 16 au 17 katika kulinda heshima na uhuru wa nchi yetu. Ilikuwa ni ushindi wa Ethiopia dhidi ya jeshi la Italia huko Adwa mwaka 1896. Tarehe hizi zina wafikiana na ushindi wa vita vya Badr katika historia ya Uislam chini ya Uongozi wa Mtume Muhammad SAW...," amesema Sheikh Abubeker Ahmed mratibu mkuu wa hafla ya Futari ya Pamoja ya Ramadhani.⁣ ⁣ #Ethiopia #ramadhani #Addisababa #sheikh #abubekerahmed #mtumemuhammad #voa #voaswahili #saumu #futari #Waislam #adhan #italia #ukombozi #vita