Je, unajua Confucianism ni Dini inayotambuliwa rasmi Indonesia?

  • | VOA Swahili
    110 views
    Nchini Indonesia Wachina wakikabila ni asilimia tatu ya wakazi wake. Kadhalika mwaka wa Lunar ni likizo ya kitaifa. Licha ya Indonesia kuwa ni nchi yenye Waislam wengi zaidi duniani bado inatoa uhuru wa wananchi wake kuabudu. Confucianism ambayo asili yake ni kutoka China ni moja ya dini sita zinazotambuliwa rasmi nchini Indonesia. Wachina pia wako ambao ni Waislam na wamewekeza katika nyumba za ibada na wanashiriki katika kuhamasisha Waindonesia wenye asili ya China ambao wanafuata Uislam kujifunza dini yao. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili... #indonesia #wachina #wakazi #mwakawalunar #lunarcalender #waislam #uhuruwaKuabudu #confucianism #china #ibada #msikiti #historia #voa #voaswahili