Je, unajua mwaka gani gari la air car lilipaa angani?

  • | VOA Swahili
    276 views
    Gari la Air Car prototype one lilipaa kwa mara ya kwanza mwaka 2021, katika safari ya majaribio. Ungana na mwandishi wetu kutoka meza ya teknolojia akikuletea maelezo kamili kuhusu gari hilo lilivyofanya safari ya ndege na ilichukua dakika ngapi? Pia lifahamu gari hilo linavyotumia nafasi ndogo kuruka na kutua na uwezo wake wa kusafiri katika ardhi. Endelea kusikiliza... #gari #aircar #prototypeone #ndege #Marekani #voa #voaswahili