Je, unajua nini kinachokwamisha uwekezaji mkubwa katika sekta ya kilimo?

  • | VOA Swahili
    271 views
    Mmoja wa wadau wa kilimo nchini Tanzania anaeleza nini hasa kinacho kwamisha uwekezaji mkubwa katika sekta ya kilimo Tanzania. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili. #mdau #sekta #kilimo #uwekezaji #mabenki #mikopo #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.