Je, unajua sababu zitazopelekea kufungwa kwa serikali ya Marekani na nani wanaohusika na mivutano

  • | VOA Swahili
    655 views
    Chini ya wiki moja kuna uwezekano wa serikali ya Marekani kufungwa kama Bunge halitafikia makubaliano kuhusu miswaada ya matumizi ambayo imeleta migawanyiko ndani ya chama cha Republikan. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili kuhusu pale mchakato wa mazungumzo kufikia muwafaka kati ya Spika wa Baraza la Wawakilishi na Rais wa Marekani Joe Biden ulipofikia na nini kilihusisha makubaliano hayo ambapo Wademokrat walikuwa tayari kutekeleza yale Warepublikan walichokuwa wanataka. Endelea kusikiliza... #serikali #marekani #bunge #makubaliano #warepublikan #wademokrat #chama #mchakato #mazungumzo #muwafaka #spika #barazalawawakilishi #serikalikufungwa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.