Je, Unajua Siri ya Nyama ya Kiasili ya Wahausa

  • | VOA Swahili
    481 views
    Oumar Bala ni kijana wa miaka 22, mkazi wa mjini London. Amegeuza basi la wazi la kuwatembeza wageni kuwa nyumba ambapo anauza Suya, nyama ya kiasili ya Wahausa iliyo na Chachandu ambayo ni mchanganyiko wa pilipili na mbogamboga. Endelea kuangalia nyama inavyoandaliwa... #oumarbala #kijana #london #uingereza #nyama #kiasili #voa #voaswahili #wahausa #nigeria