Je, unakijua kifaa kinachoweza kuweka ushahidi unapodhulumiwa?

  • | VOA Swahili
    711 views
    Idara ya Sheria ya Marekani inasema kamera za kuvaliwa kwa kawaida hutumiwa ilikuboresha usalama wa maafisa wa polisi na kukusanya ushahidi kwa njia ya hali ya juu. Ungana na mwandishi wetu BMJ Murithi akikuletea aina ya teknolojia iliyozinduliwa hivi karibuni ambayo ni bei nafuu na inaweza kutumiwa na mwananchi wa kawaida ili kuweka ushahidi pindi anapodhulumiwa. Endelea kusikiliza… #idara #sheria #marekani #kamera #voa #voaswahili #uhalifu #polisi #jambazi