Je unamjua vizuri fundi wa nguo zako zile uzipendazo sana?

  • | BBC Swahili
    Kama humjui vizuri basi leo tutakujuza kumhusu ndugu Abdallah ambaye yeye ni mlemavu wa macho. . Haoni kabisaa ila kwa hakika akikaa kwenye cherehani utashindwa kabisa hata kumtambua kama ni yeye kutokana na uwezo alionao katika kuifanya kazi yake kwa weledi. . Mafundi wengi wa nguo wamekuwa wakitatizwa na suala zima la utungani wa uzi wawapo katika harakati za kutuandalia nguo nzuri, Fundi Abdallah amekuja na suluhisho . Je ungepe kujua ni ubunifu gani aliokuja nao? 📸: @frankmavura . . . #kazinikaz #fundicherehani #nguo #fashion #ulemavusikikwazo i #kazi