Je unatufuta ajira ? Unaweza kufanya kazi chini ya ardhi?

  • | BBC Swahili
    Maelfu ya watu wameachwa bila ajira baada ya uchumi wa dunia kuporomoka kufuatia janga la Corona. Hata hivyo bwana mmoja ametangaza nafasi ya kazi ya mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi chini ya ardhi. Bwana Dean ni mkulima wa uyoga na anatumai kwamba mtu atakayejitokeza ili kuendeleza kilomo hicho.....hebu tazama masharti yake #Jikingeuwakingewengine #Tasmania #Ajira