Je unaujua mchezo huu wa kuchapana makofi usoni?

  • | BBC Swahili
    391 views
    Slap Kabaddi, mchezo unaotaka kufanana na mieleka unaohusisha kuchapana makofi, unazidi kuwa maarufu huko Punjab, Pakistan. Kabaddi ni mchezo maarufu huko Asia Kusini. Slap Kabaddi, kwa kawaida huchezwa katika sherehe katika mkoa wa kati-mashariki wa Punjab. #bbcswahili #pakistan #punjab