Skip to main content
Skip to main content

Je utekelezaji wake unawezekana na nchi zilizofaidika na utumwa zinapaswa kulipa fidia?

  • | BBC Swahili
    14,803 views
    Duration: 2:46
    Umoja wa Mataifa umeidhinisha azimio muhimu lililowasilishwa na Ghana, linalotambua biashara ya watumwa kuwa “uhalifu mbaya zaidi dhidi ya binadamu.” Azimio hilo lilipitishwa kwa kura 123 za kuunga mkono, tatu za kupinga kutoka Marekani, Israel na Argentina na kura 52 walisusia, zikiwemo Uingereza na nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya. Mwandishi wa BBC @ahmedbahajjofficial na taarifa zaidi; - - #bbcswahili #utumwa #afrika #ghana #africaunion #uingereza #ujerumani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw