Je, waganga bado ni daraja kati ya ulimwengu wa kimwili na kiroho

  • | VOA Swahili
    413 views
    Nchini Ghana, waganga wa kienyeji, ambao hapo awali waliheshimiwa kama wapatanishi na waponyaji wa kiroho, wanakabiliwa na maswali kuhusu umuhimu wao katika nyakati za sasa. Kijadi huonekana kama daraja kati ya ulimwengu wa kimwili na wa kiroho, waganga hawa walipata heshima kubwa katika kabila la Akan. Nana Manu, Mganga wa Kienyeji katika jumuiya ya Fumesua, anaeleza hadithi yake kama waganga hao bado wanashikilia hadhi yao katika jamii ya kisasa. Edmond Agyei Kumi ana ripoti kutoka Fumesua, Mkoa wa Ashanti, Ghana na Sunday Shomari anaisoma taarifa kamili. #waganga #kienyeji #Fumesua #AshantiRegion #Ghana #jadi #kijadi #voa #voaswahili #nanamanu #sundayshomari