Jelani Kihanya na Antonia Mbuthia watwaa taji la jumla katika mashindano Gofu ya NCBA

  • | NTV Video
    131 views

    Jelani Kihanya wa Limuru Country Club na Antonia Mbuthia wa Muthaiga walitwaa taji la jumla la Wavulana na Wasichana mtawalia katika mashindano ya Pili ya Gofu ya NCBA yaliyokamilika katika kozi ya Nyali Golf katika Kaunti ya Mombasa Jumatatu alasiri.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya