Jenerali Ogolla azikwa nyumbani kwao Ng'iya, Siaya

  • | Citizen TV
    7,234 views

    Mkuu wa majeshi Jenerali Francis Ogolla amezikwa leo nyumbani kwake katika kijiji cha Mor kaunti ya Siaya. Hafla hiyo ilianza kwa kusafirisha mwili kutoka uwanja wa ndege wa Kisumu na kukamilika kwa heshima ya mizinga kumi na tisa ya kijeshi kuambatana na tamaduni za kijeshi. Mamia ya watu wakiwemo viongozi wa serikali na wanasiasa walijitokeza ili kumuaga Jenerali Ogolla