- 15,042 viewsDuration: 36sWajenzi wawili wamekwama ndani ya vifusi vya jengo la ghorofa 22 lililoporomoka usiku wa kuamkla leo katika eneo la Westlands hapa Nairobi. Shirika la msalaba mwekundu limeripoti kuwa juhudi za dharura zinaendelea ili kuwafikia waathiriwa hao baada ya wenzao wawili kuokolewa bila majeraha yoyote.