Jeremiah Kioni na David Murathe wamefurushwa kwenye chama cha Jubilee

  • | Citizen TV
    4,777 views

    Mzozo wa uongozi katika chama cha Jubilee umechukua mkondo mwingine baada ya msajili wa vyama vya kisiasa kuwaondoa Jeremiah Kioni, David Murathe na Kagwe Gichohi katika uongozi wa chama hicho