Jeremy Mwenda kutoka kaunti ya Meru aomba wahisani kumsaidia aweze kujiunga na kidato cha kwanza

  • | KBC Video
    82 views

    Jeremy Mwenda kutoka eneo la Laare liliko Igembe Kaskazini kaunti ya Meru anaomba wahisani kumsaidia kuweza kujiunga na kidato cha kwanza. Jeremy ambaye ni yatima alipata alama 368 katika mtihani wa kitaifa wa KCPE, na anatarajia kujiunga na shule ya upili ya wavulana ya Igembe.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #bursaries #darubiniwikendi