‘Jerusalem’ ya West Pokot

  • | Citizen TV
    560 views

    KUwepo kwa dhehebu la roho mafuta pole afrika katika eneo la Tamugh kaunti ya Pokot Magharibi, kumebadilisha jina la eneo hilo na kuitwa Yerusalemu, hii ni kutokana na jengo sawia na hekalu la Yerusalemu kujengwa katikati ya kijiji hicho, na pia kuwa kivutio cha watalii.