Jeshi la Afrika Mashariki EACRF laondoka DRC

  • | BBC Swahili
    1,107 views
    Baada ya kuhudumu kwa miezi 11 tu, kikosi cha Afrika Mashariki kilichoundwa ili kukabiliana na ghasia za wanamgambo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimeamriwa kuondoka. #kenya #drc #eacrf Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw