“Jeshi la Marekani Litajenga Gati ya Muda Kuongeza Misaada ya Kibinadamu Kufika Gaza”
Rais wa Marekani Joe Biden alisema Alhamisi usiku jeshi la Marekani litasaidia kuweka gati ya muda katika pwani ya Gaza ikiwa ni njia ya kuongeza kufikishwa misaada kwa Wapalestina waliokwama katika eneo lililozingirwa na vita vya Israel na Hamas.
Alitangaza mpango huo wakati akitoa hotuba yake ya Hali ya Kitaifa kwa Bunge la Marekani. Hatua hiyo imekuja baada ya Biden wiki iliyopita kuidhinisha jeshi la Marekani kudondosha kutoka angani msaada huko Gaza.
Biden alisema gati hiyo ya muda “itawezesha kuongezwa msaada wa kibinadamu kwa kiwango kikubwa kufikishwa Gaza.”
Lakini wakati huo huo ametoa wito kwa Israel kuchukua hatua zaidi kuepusha mateso yanayowakabili Wapalestina hata pale majeshi yake yanapojaribu kuwatokomeza wanamgambo wa kikundi cha Hamas.
#sotu #biden #israel #hamas #voaswahili
11 Aug 2025
- Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour.
11 Aug 2025
- This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.
11 Aug 2025
- KUPPET claims that TSC should follow in the footsteps of the National Police Service.
12 Aug 2025
- The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
12 Aug 2025
- KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
12 Aug 2025
- How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
12 Aug 2025
- Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
12 Aug 2025
- Ruto puts banks to task over constant high lending rates
12 Aug 2025
- Unbowed Lagat returns despite murder probe
12 Aug 2025
- Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
12 Aug 2025
- Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
12 Aug 2025
- DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens
12 Aug 2025
- Farmers win round one as court halts duty-free rice importation