Jeshi la ulinzi wa amani la Umoja wa Afrika nchini laondoka pole pole Somalia

  • | VOA Swahili
    537 views
    Jeshi la ulinzi wa amani la Umoja wa Afrika nchini Somalia limeanza kuondoka pole pole kutoka nchini humo likitarajia kuwa majeshi ya Somalia yatachukua majukumu ya ulinzi ifikapo mwisho wa mwaka 2024. Majeshi ya AU yalipelekwa huko tangu mwaka 2007 kuisaidia serikali ya Somalia kupambana na kundi la wanamgambo la al-Shabab, lakini mapigano bado hayajakwisha.