Skip to main content
Skip to main content

Jiji la Nairobi limejaa mwanga wa sherehe za sikukuu kila kona

  • | KBC Video
    501 views
    Duration: 3:33
    Ni Krismasi na anga ya jiji la Nairobi kwa mara nyingine imeangaa jinsi ilivyo kawaida katika kipindi hiki cha mwaka. Kuanzia majumba ya kibiashara na majengo ya kihistoria jiji hili linang’aa kutokana na mbwembwe za sikukuu. Mwanahabari wetu Yusuf Farah alizuru barabara za jiji hili kunakili baadhi ya taswira za kupendeza Zaidi jijini humu na kutuandalia ripoti ifuatayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive