Jiji Lafungwa: Gen Z waandamana kukumbuka waliouawa katika maandamano ya Juni 25, 2024

  • | NTV Video
    4,928 views

    Jiji la Nairobi limeshuhudia kufungwa kwa biashara na mapambano ya kutwa nzima, baada ya vijana wa Gen Z kuandamana kuwakumbuka wale waliopoteza maisha katika maandamano sawia na ya mwaka jana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya