Jinamizi la ajali

  • | Citizen TV
    2,993 views

    Familia za watu watano waliofariki kwenye ajali ya Soy, zimetambua miili ya wapendwa wao katika makafani ya hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi jijini eldoret. Wingu la huzuni lilitanda katika hospitali hiyohuku jamaa na marafiki wakishindwa kujizuia kwa uchungu wa kuwapoteza watoto wao.