Jinsi barabara rafiki kwa mazingira zinavyobadilisha taswira Kenya.

  • | BBC Swahili
    5,611 views
    Leo dunia inaadhimisha siku ya mazingira duniani. Sasa Ukame wa muda mrefu, uharibifu wa ardhi na mvua kidogo ni baadhi ya changamoto ambazo wakulima katika eneo la Makueni, Kusini Mashariki mwa Kenya wanakabiliana nazo kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Lakini je, barabara zinazojengwa kwa njia ambayo ni rafiki kwa mazingira zinaweza kusaidia kubadilisha hali hii? Mwandishi wa BBC Peter Mwangangi alitembelea mradi mradi mmoja unaokarabati upya barabara zilizo maeneo ya vijijini ili zielekeze maji kutoka katika njia hadi kwenye mashamba ili kuimarisha uzalishaji wa chakula, na kupunguza mmomonyoko wa udongo njiani. #bbcswahili #kenya #mazingira Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw