Jinsi biashara ya bangi yenye faida kubwa Thailand inavyokabiliana na tishio

  • | BBC Swahili
    674 views
    Thailand imekuwa nchi ya kwanza barani Asia kuhalalisha matumizi ya bangi kwa ajili ya kujiburudisha kwa mwaka wa 2022. Sasa inatazamiwa kufanya mabadiliko ya ghafla na kuruhusu bangi kwa matumizi ya matibabu pekee. Uamuzi huo wa serikali unakuja baada ya uchunguzi kuonesha kuwa matumizi ya bangi kwa kujiburudisha miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka 20 yameongezeka mara 10 tangu tangu ilipohalalishwa. #bbcswahili #thailand #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw