- 12,689 viewsDuration: 7:53DENG XIAOPING, ni kiongozi ambaye mwishoni mwa miaka ya 1970 alibadilisha uchumi wa China na kuufanya hadi kuwa uchumi wa pili kwa ukubwa duniani. Je alifanyaje mpaka kufanikiwa? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw