Jinsi Covid-19 ilivyobadilisha biashara ya kukodisha maofisi nchini Afrika Kusini

  • | BBC Swahili
    Katika miezi ya hivi karibuni, watu wengi wamekuwa wakifanyia kazi kutoka nyumbani ikilinganishwa na ofisini kutokana na maambukizi ya Covid-19. Je, maofisi yatahitajika katika miaka ijayo? Na iwapo jibu ni ndio…je, hitaji hili litakuwa kiasi gani? Taarifa hii inaangazia hali ilivyo nchini Afrika Kusini. #biashara #bbcswahili #afrikakusini