Wazee wanaoishi na ugonjwa wa Parkinson nchini India wanasema darasa la densi linawasaidia kuboresha viungo vyao.
Mwalimu wao anasema wanafunzi wake katika jimbo la Maharashtra magharibi mwa India wanacheza kwa furaha.
Ugonjwa wa Parkinson huathiri jinsi ubongo unavyowasiliana na misuli kwenye mwili. Inaweza kusababisha kutetemeka, kukosa nguvu na kutembea polepole lakini wataalam wanasema mazoezi yanaweza kupunguza kasi ya ugonjwa huo.
#bbcswahili #india #parkinson
20 Aug 2025
- Speaking on Wednesday after a joint dialogue with the United Nations Development Programme (UNDP) on training and capacity building, IG Kanja emphasized that the National Police Service is fully in charge of security arrangements and expects “normalcy”…
20 Aug 2025
- Two people died on Wednesday while three others sustained serious injuries in a tragic road accident near Ting’ Wang’i junction along the Siaya-Bondo road in Siaya County.
20 Aug 2025
- Mobility platform Bolt has launched a first-of-its-kind dash cam in Kenya in collaboration with AI-based mobility tech firm Driver Technologies, giving drivers access to advanced safety technology at 75% off premium.
20 Aug 2025
- Teresia Chepkemoi Chepkwony, a revenue collector, technician, and marketing assistant with the water company, was charged with forging a KCSE certificate bearing a C plus mean grade from Boron Secondary School on or about September 18, 2017, and…