Jinsi kanisa moja linavyochangia uhifadhi wa mazingira nchini

  • | K24 Video
    40 views

    Japo kanisa huangazia zaidi maisha baada ya kifo, lina jukumu muhimu katika uhifadhi wa mazingira na asili duniani. Jukumu hilo limesababisha kanisa moja nchini kenya kuanzisha mipango ya uhifadhi na utunzaji wa mazingira, ikiwa ni pamoja na kupanda miti kila baada ya miezi sita na kutenga jumapili moja kufundisha waumini kuhusu umuhimu wa kutunza mazingira. wiki hii katika sauti ya mazingira, david kagina anaangazia nafasi ya kanisa katika uhifadhi wa mazingira.