Jinsi mabadiliko ya hali ya hewa yanavyoleta wanyama hatari karibu na makazi ya binadamu
Wakati mkutano wa kilele wa hali ya hewa barani Afrika ukimalizika mjini Nairobi, jamii zinazoishi karibu na Ziwa Baringo katika eneo la bonde la Ufa la Great Rift nchini Kenya zinaishtaki serikali kwa athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa.
Wanasema imesababisha kuongezeka kwa mashambulizi ya mamba huku kuongezeka kwa maji hayo yakileta wanyama hao hatari karibu na wakazi wa eneo hilo.
Video: Hassan Lali
#bbcswahili #kenya ##mabadilikotabianchi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
3 Jul 2025
- Ndiangui resurfaced today morning after 13 days.
3 Jul 2025
- Legal proceedings initiated to recover the prime land.
3 Jul 2025
- The principals did not have the required details.
4 Jul 2025
- South Africa's former deputy president David Mabuza has died aged 64, the country's public broadcaster reported on Thursday.
4 Jul 2025
- MPs questions State overreach in new media code of conduct
4 Jul 2025
- Why Kariuki couldn't survive the police bullet
4 Jul 2025
- Farmers to get record payment, says Coop boss
4 Jul 2025
- Passaris's 'big, beautiful' Bill that gives goons a free pass in the city
4 Jul 2025
- Knec unveils new training centre to demystify exams
4 Jul 2025
- We will speak in one voice in 2027 polls-opposition
4 Jul 2025
- Teacher unions demand hefty pay rise, new perks
4 Jul 2025
- Matiang'i can give Kenya an Abraham Lincoln moment
4 Jul 2025
- AfDB says Kenya's tax regime lenient to the wealthy