Jinsi marehemu rais Nkurunziza alivyowapanga timu ya marais Kagame, Kenyatta, Kikwete na Museveni

  • | BBC Swahili
    Mwanahabari wetu @salim_kikeke alimtembelea marehemu rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na kufanya mahojiano naye mwaka 2015 kuhusu jinsi ambavyo angewapanga marais wenzake katika timu ya kandanda ya Afrika Mashariki. Alikuwa mpenzi wa kandanda na hivi ndiyo line-up ya marais wenzake Kagame, Kenyatta, Kikwete na Museveni. Marehemu rais Pierre Nkurunziza alizikwa nyumbani kwake huko Gitega siku ya Ijumaa #nkurunziza #kandanda #burundi #burundi🇧🇮#bbcswahili