- 2,158 viewsDuration: 3:02Utata kuhusu usalama wa mfumo wa kidjitali wa kupiga kura uliotumiwa na wawakilishi wadi wa kaunti ya Kericho kupiga kura ya kumbandua gavana DKT. Eric Mutai, ilimpa gavana huyo afueni ya mapema. Mutai aliponea chupuchupu baada ya maseneta kutilia shaka kuafikiwa kwa thuluthi mbili ya kura za wawakilishi wadi zinazohitajika kumbandua