Jinsi mikahawa ya kuolea Lamu yawavutia wageni wanaozuru kisiwa cha Amu

  • | Citizen TV
    449 views

    Mikahawa inayoolea katika bahari hindi Kisiwani Amu kaunti ya Lamu imeonekana kuwavutia wageni wanaozuru Lamu na hata kuwa maeneo ya kujivinjari kwa wakaazi. Ni maeneo ambayo kila kitu hufanyika juu ya maji, kama Rahma Rashid anavyotuarifu kutoka kaunti ya Lamu