Jinsi mwanamke wa Pakistani alivyodhamiria kuweka historia katika uchaguzi wa mwaka huu

  • | BBC Swahili
    523 views
    Wiki hii, wakati Pakistan inajiandaa kwa uchaguzi mkuu, wanawake wanakabiliwa na uwezekano wa kunyimwa haki ya kupiga kura na wanafamilia wa kiume. Kanuni kali za kijamii zinawafungia wanawake hawa kwenye nyumba zao, ambapo mara nyingi wapo katika hatari ya unyanyasaji wa majumbani, au hata mauaji ya heshima. #bbcswahili #pakistani #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw