Jinsi Njabuliso Ngcamphalala alivyompambana kuanzisha biashara

  • | VOA Swahili
    134 views
    Viwango vya ukosefu wa ajira nchini Eswatini, taifa dogo la kusini mwa Afrika lisiyo na bahari, imesalia asilimia 24 tangu 2022, kulingana na Statista, shirika la kukusanya takwim mtandaoni . Njabuliso Ngcamphalala, Aliyehitimu hivi karibuni, anasema vijana wanahisi athari mbaya za soko la ajira kubaki vile vile, kudorora kwa hali kutoka miaka ya nyuma. Nokukhanya Musi alizungumza na Ngcamphalala, ambaye anaelezea changamoto anazokabiliana nazo na jinsi ambavyo ameweza kukabili na hali hiyo na Hubbah Abdi anasimulia... #msumbiji #ajira #ukosefuwaajira #voa #voaswahili ⁣