- 1,959 viewsDuration: 3:26Mwezi mmoja tangu Rais Ruto kuzindua gari la moshi la kuwasafirisha abiria kutoka kituo cha SGR eneo la Miritini kuelekea katikati mwa jiji la Mombasa, treni hiyo imeendelea kuwa sehemu muhimu ya usafiri wa wakazi na hata wageni. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya