Jinsi utovu wa usalama umewanyima wanafunzi wengi nafasi ya elimu Baringo

  • | Citizen TV
    408 views

    Utovu wa usalama katika sehemu za kaunti ya Baringo zimeendelea kuwanyima wanafunzi wengi nafasi ya kupata elimu. Baadhi ya shule kaunti hii zikisalia na usalama tete, na kuwaacha wanafunzi wachache tu shuleni. Hali hii ya usalama na hata sasa uhaba wa lishe shuleni ikizidi kuathiri elimu eneo hili