Jinsi wafu wakosewa heshima na wanasiasa

  • | Citizen TV
    1,242 views

    Katika siku za hivi maajuzi wanasiasa wamekuwa wakitumia hafla za mazishi kuonyesha ubabe wao na hata kuvuruga mazishi hayo. Collins shitiabayi ametembelea familia ambayo mazishi ya mpendwa wao yalivurugwa viungani mwa mji wa kitale kutokana na vita vya ubabe wa kisiasa baina ya Gavana wa Trans-Nzoia George Natembeya na spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula na kuandaa taarifa ifuatayo.