Jitihada zinazoendelea kurejesha hali ya utulivu wa kisiasa Haiti

  • | VOA Swahili
    973 views
    Jarida la Wikiendi linaangazia hali ya usalama nchini Haiti ambayo imeendelea kuzorota, na jitihada ya kurejesha utulivu wa kisiasa katika taifa hilo la Carribean. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.