JOE BIDEN AAPISHWA LEO KUWA RAIS WA 46 WA MAREKANI

  • | VOA Swahili
    Mdemocrat Joe Biden anaapishwa kuwa rais wa 46 wa Marekani kiasi cha saa moja kutoka sasa akishika madaraka ya nchi hii ikiwa imegubikwa na mgawanyiko mkubwa wa kisiasa na mzozo wa janga la maambukizi ya virusi vya corona.