Joe Biden: Rais mteule wa Marekani ni nani?

  • | BBC Swahili
    Baada ya moja kati ya chaguzi zilizokuwa na mvutano katika historia ya Marekani, Joe Biden hatimaye anachukua nafasi ya juu katika Ikulu ya nchi hiyo. Lakini tunafahamu nini kumhusu mtu huyu ambaye kuwa kwake kwenye siasa kwa miongo kadhaa kumeleta maafanikio, changamoto na changamoto binafsi za kimaisha? #bbcswahili #marekani #biden