Skip to main content
Skip to main content

Joe Waithira wa Murang’a Seal achipuka mabao 13; Ligi Kuu kuingia raundi ya 21

  • | Citizen TV
    350 views
    Duration: 3:06
    Ligi kuu nchini inatarajiwa kuingia raundi yake ya 21 ila jina la mshambulizi wa Murang’a Seal Joe Waithira ndilo linaloimbwa kutokana na umahiri wake wa kuchana nyavu. Waithira ambaye pia ni nahodha wa kikosi hicho amepachika mabao 13 kufikia sasa. Mwanaspoti wetu luqman mahmoud na mengi.