Skip to main content
Skip to main content

Johanna Ng’eno: Kiongozi shupavu na mbunge wa muhula wa tatu

  • | Citizen TV
    3,952 views
    Duration: 3:19
    Atakumbukwa kama kiongozi shupavu ambaye hakuwa muoga alipopigania maslahi ya waliodhulumiwa. Marehemu Johana Ng'eno kwa mara kadhaa alijipata kwenye makumbo na maafisa wa usalama haswa wakati wa kufurushwa kwa maskwota kwenye ardhi walizoishi. Nimrod Taabu anaangazia tawasifu ya kiongozi anayekumbukwa na wakazi wa Emurua Dikirr kama shujaa na mkarimu