John Heche na Edwin Sifuna ni mapacha wa kisiasa?

  • | BBC Swahili
    2,169 views
    Kama ni mgeni katika ukanda wa Afrika ya Mashariki basi ninapotaja majina yafuatayo mawili , hautaelewa ni kwa nini yametajwa katika sentensi moja. John Heche na Edwin Sifuna, wametengwa na mipaka ila kimsingi viongozi hawa waili huenda wakatajwa kama pacha wa siasa za uwajibikaji katika mataifa yao binafsi na vile vile Afrika Mashariki. Vuta kiti Laillah Mohammed @Leila Mohammed akupe maelezo kisha utafanya uamuzi ikiwa kuna tofauti nyingi kuliko kufanana kati yao. - - #bbcswahili #kenya #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw