Skip to main content
Skip to main content

John Korir, Agnes Ng'etich ndio mabingwa wa makala ya tano ya mbio za nyika za Absa Sirikwa Classic

  • | NTV Video
    133 views
    Duration: 1:23
    Bingwa wa Boston na Valencia marathon John Korir na bingwa wa dunia wa mbio za nyika Agnes Ng'etich ndio mabingwa wa makala ya tano ya mbio za nyika za Absa Sirikwa Classic zilizoandaliwa hii leo katika uwanja wa Lobo, jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya