- 938 viewsDuration: 5:35Mara nyingi vijana ambao hutoraka maeneo ya Baringo na Elgeyo Marakwet kwa sababu za kiusalama na ndoa za mapema, huangaika wakitafuta mbinu ya kujiendeleza kimaso na kuanza maisha upya . Lakini sasa kuna nuru gizani kwani John Mwangi anawachukua vijana hao na kuwapa nafasi za kusomea ususi wa nywele, kutengeneza makucha miongoni mwa mapambo mengine ya ulimbwende jijini eldoret kaunt ya Uasin Gishu.