John Too kutoka Narok ashinda shilingi milioni moja kwa shindano la Peperusha Aviator na Shabiki.com

  • | Citizen TV
    1,468 views

    John Too kutoka kaunti ya Narok amejishindia shilingi milioni moja kwenye shindano la Peperusha Aviator na Shabiki.com. John alishinda kwa kutumia shilingi elfu moja pekee kucheza. Kampuni ya Shabiki.com hii leo inatoa hundi ya shilingi milioni moja kwake John ambaye pia anapata fursa ya kipekee ya kubebwa na ndege kutoka nyumbani kwake hadi Narok mjini kama njia mojawapo ya Shabiki.com kuwatuza mashabiki wao.